PlayStation and games New
Playstation 5 pro
Kuanzia TZS 3,300,000
Ipo stoo
Kiwango cha chini cha jumla: 1
Imewekwa kikapuni. Tazama kikapu
Umechagua: SASI-2190
Maelezo
🎮 PLAYSTATION 5 PRO — POWER YA KIWANJA KINGINE! 🔥PS5 Pro ni console yenye nguvu kubwa iliyotengenezwa kwa ajili ya gamers wanaotaka graphics kali, performance ya juu na experience ya kizazi kipya.✨ Sifa kuu:🎮 4K Gaming — picha zenye clarity na details za kuvutia⚡ Performance ya juu kwa gameplay smooth na responsive🌟 Advanced Ray Tracing kwa mwanga, shadows na reflections zinazonekana realistic zaidi🚀 SSD ya 2TB — nafasi kubwa ya kuhifadhi games zako🖥️ PSSR AI upscaling kwa kuboresha quality ya picha🎯 Inafaa kwa games kubwa kama GTA, FC, Call of Duty, Spider-Man, God of War na nyingine nyingi🔥 Design ya kisasa na performance iliyoboreshwa ukilinganisha na PS5 ya kawaidaPS5 Pro = Graphics kali + Speed + Power + Gaming experience ya kiwango cha juu. 🎮🔥Kama unataka gaming bila compromise, PS5 Pro ni mashine ya kuangalia!